Uongozi wa AGU CLASSIC BLOG unaomba samahani kwa wafatiliaji wa habari mbalimbali hasa miziki mipya kutokana na kutokuwa hewani kwa kutupia nyimbo mpya zinazoendelea kutoka siku hizi za hivi karibuni , pia kwa wale wasanii ambao tayari wameshanipa nyimbo zao wasiwe na hofu kuhusu nyimbo zao kuwekwa mtandaoni , hii yote ni kutokana na matatizo ya mtandao kwa mahali nilpo now
No comments:
Post a Comment