12 Dec 2014

NEW SONG | A 9 feat MNAZI - TABASAMU | DOWNLOAD & LISTEN

Msanii chipukizi katika mziki wa Bongo fleva mkoani Tabora maeneo ya Ipuli ameachia ngoma yake ya kwanza aliyoipa jina la Tabasamu ndani ya SB Music iliyopo maeneo ya Ipuli mkoani Tabora chini ya Producer S.Tino ,hivyo basi washabiki wa muziki itakuwa vizur endao mtatoa ushauri pendekezo juu ya wimbo huu.


No comments:

Post a Comment