5 Dec 2014

NEW SONG | MAN SEVEN - NAJUTA by S.TINO ONE/ SB MUSIC | DOWNLOAD & LISTEN HERE

Toka mkoani Tabora pande za Ipuli Young Star ambaye anakuja kwa kasi katika sanaa ya muziki wa kizazi kipya upande wa Bongo fleva MAN SEVEN ameachia ngoma mpya aliyoipa jina la NAJUTA  Chini ya Producer anaefanya vizuri mkoani Tabora S. TINO ONE ndani ya Studio za SB MUSIC mkoani Tabora , Wadau wa mziki ndani na nje ya mkoa wa Tabora  mnaombwa kutoa sapport kwa kusikiliza na kudownload ngoma hii , pia kutoa comments mbalimbali na ushauri ili kukuza vipaji vipya vinavyochipukia.

Ahsante kwa kutembelea blog yetu waweza kuwa mwanafamilia kwa kutu follow
Facebook - like page yetu  @ Agu Classic
Twitter   - @ AugustinoDamson
Facebook  - @ Augustino Kaulule Agu classic
Instagram - @ aguclassic
Whatsup   - 0753825788

No comments:

Post a Comment