11 Jun 2015

Msanii BEXY WAMUSIC AKANUSHA TETESI ZINAZOMKUMBA KUHUSU NGOMA YAKE ALIYOIACHIA HIVI KARIBUNI

Msanii wa muziki wa Bongo fleva Bexy Wamusic anae tamba kwa sasa na wimbo wake
ujulikanao kwa jina la UKISINZIA RMX alioshirikiana na mwana muziki mkubwa nchini TZ Diamond platinum , Qeen darling na Tessy baada ya mahojiano na Agu Classic siku ya Alhamisi msanii huyu amesema kuwa wimbo huo


aliutoa kwa ajili ya mashabiki wa muziki nchini si kwa sababu ya kutafuta KIKI kama baadhi ya watu wanavyosema lakini pia kasema ukali wa msanii Diamond ndo kitu ambacho kimefanya Bexy wamusic Tanzania Musician kufanya nae hiyo kolabo pia Msanii Bexy amekanusha kabisa tetesi zinazovuma mtaani kuwa amecopy beat la wimbo wake huo kutoka kwa msanii toka mkoani Iringa ambaye hakutaka kutaja jina la msanii huyo lakini anawakumbusha mashabiki wake wakae tayari kwa ngoma mpya atakayo iachia mwanzoni mwa mwezi wa saba ikiwa ni video pia anawashukuru wote wanao msapoti mpaka kufikia sehemu aliopo sasa.

Ahsante kwa kutembelea blog yetu wasiliana nasi; Facebook -like page yetu @ Agu Classic Twitter - @ agu_classic OR @ AguClassic Facebook - @ Augustino Kaulule Instagram -@ aguclassic email- damsonaugustino@ymail.com


No comments:

Post a Comment