Wakali wa muziki wa kizazi kipya mkoani Tabora Topboy,Charz na Trish wataitambulisha rasmi ngoma yao (Audio) waloipa jina look at me Ijumaa hii tarehe 19 / 6 / 2015 katika kituo cha redio cha CG FM cha mkoani Tabora kuanzia mida ya 8:00 mchana katika kipindi cha MAGIC STYLE, Hivyo wadau na wapenzi wote wa Muziki mkoan Tabora na nje ya mkoa huo mnaobwa kufatilia interview hiyo ili kukuza mziki wetu , pia usikose kupakua ngoma hiyo mara tu itakapo achiwa rasmi kupitia blog hii- AGU CLASSIC BLOG

No comments:
Post a Comment