USIKOSE INTERVIEW YA MSANII OSCAR PARABLE JUMAMOSI HII NA CG FM RADIO TABORA
Kwa mara nyingine tena mkali mziki wa kizazi kipya mkoani Tabora OSCAR PARABLE atakuwa hewani Jumamosi hii saa 8 MCHANA katika kituo kikubwa cha redio mkoani Tabora CG FM RADIO akiongelea mambo mbalimbali kuhusiana na muziki kwa upande wake pia atambulisha ngoma yake kwa mashabiki wake ndani na nje ya mkoa wa Tabora , hivyo basi mashabiki wa OSCAR PARABLE msikose kutune CG FM redio 89.5 fm Tabora time izoo na walio nje ya mkoa mwaweza sikiliza mahojiano hayo kupitia www.cgfmradio.com
No comments:
Post a Comment