24 Mar 2017

NEW AUDIO || LAWELU MPANDA - ASANTE MUNGU || GOSPEL

Muuimbaji mpya wa nyimbo  za Injili LAWELU MPANDA hivi karibuni ametambulisha wimbo wake wa kwanza aloupa jina la ASANTE MUNGU chini ya Prod. Hass B kutoka jijini Dar es Salaam. Download na Sikiliza wimbo huo , lakini pia unaombwa kushare kwa wapendwa wengine ili wapata neno la Mungu kupitia wimbo huu lakin pia kusapoti kazi ya mwanadada huyu mpya katika sanaa ya uimbaji.


Ahsante kwa kutembelea blog yetu.

JOIN WITH US;
Like Facebook Page- @ Agu Classic
Instagram -@ aguclassic
Twitter - @ agu_classic
Whatsup - +255753825788

No comments:

Post a Comment