Wakali wa muziki wa kizazi kipya mkoani Tabora Topboy,Charz na Trish wataitambulisha rasmi ngoma yao (Audio) waloipa jina look at me Ijumaa hii tarehe 19 / 6 / 2015 katika kituo cha redio cha CG FM cha mkoani Tabora kuanzia mida ya 8:00 mchana katika kipindi cha MAGIC STYLE, Hivyo wadau na wapenzi wote wa Muziki mkoan Tabora na nje ya mkoa huo mnaobwa kufatilia interview hiyo ili kukuza mziki wetu , pia usikose kupakua ngoma hiyo mara tu itakapo achiwa rasmi kupitia blog hii- AGU CLASSIC BLOG
Follow Us On Instagram
18 Jun 2015
Home
/
Unlabelled
/
TOPBOY , CHARZ NA TRISH KUTAMBULISHA NGOMA YAO ( Look at Me ) KWA MARA YA KWANZA CG FM RADIO IJUMAA HII
TOPBOY , CHARZ NA TRISH KUTAMBULISHA NGOMA YAO ( Look at Me ) KWA MARA YA KWANZA CG FM RADIO IJUMAA HII
Tags
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment