AGU CLASSIC   Blog

BLOG PENDWA YA MUZIKI, HABARI, MICHEZO & BURUDANI, WATOTO NA VIJANA. Instagram| AguClassic, WhatsUp| +255753825788, YouTube| Agu Classic TV, Email| damsonaugustino@gmail.com

AGU CLASSIC BLOG

BLOG PENDWA YA MUZIKI, HABARI, MICHEZO & BURUDANI, WATOTO NA VIJANA. Instagram| AguClassic, WhatsUp| +255753825788, YouTube| Agu Classic TV, Email| damsonaugustino@gmail.com

Follow Us On Instagram

22 Feb 2022

undefined undefined

VITUO VYA MAENDELEO YA MTOTO NA VIJANA KLASTA YA NZEGA VYAZINDUA MICHEZO YA KIRAFIKI KILA JUMAMOSI

 Baada ya kupotea kwa mashindano ya pamoja ya vituo vya Klasta ya Nzega tangu mwezi June 2021, Idara ya Michezo ikiongozwa na ndugu Alfred Masele (Mratibu wa FPCT Tazengwa) na Augustino Kaulule (Mratibu wa Moravian Ushirika) ilikaa chini na kubuni njia rafiki itakayosaidia kurudisha Upendo, Umoja na Amani baina ya...

10 Aug 2021

undefined undefined

AUDIO | Anjella Ft. Country Wizzy, Frida Amani, Mabeste & Young Lunya – Nobody Remix | Download

6 Aug 2021

undefined undefined

TIMU YA MORAVIAN USHIRIKA ACADEMY KUINGIA KAMBINI RASMI KUJINOA NA MCHEZO WA KIRAFIKI DHIDI YA MORAVIAN USOKE YA URAMBO

 Timu ya mpira wa Miguu kutoka kituo cha Maendeleo ya Mtoto na Kijana cha Moravian Ushirika Nzega – TZ0564 Moravian Ushirika Academy, inajiandaa kuingia kambini rasmi kwa ajili ya Mchezo wa Kirafiki dhidi ya timu ya Mpira wa Miguu kutoka kituo cha Moravian Usoke kilichopo wilayani Urambo Mkoani Tabora. Akizungumza moja...
undefined undefined

ASKOFU EZEKIEL YONA WA 'KMTM' AZINDUA OFISI YA WATENDAKAZI WA KITUO CHA MAENDELEO YA MTOTO NA KIJANA MORAVIAN USHIRIKA - NZEGA

 Jumapili ya tarehe 01/08/2021ilikuwa ni Jumapili ya kipekee na yenye furaha kwa waumini wa kanisa la Moravian Ushirika Nzega. Baada ya kutembelewa na ugeni mkubwa wa vongozi wa juu wa jimbo la Kanisa la Moravian Tanzania Magharibi (KMTM) wakiongozwa na Baba Askofu Ezekiel Yona. Pamoja na kuongoza ibada ya Jumapili...

19 Jul 2019

undefined undefined

NEW AUDIO | A NINE - NIPOST | DOWNLOAD & LISTEN

DOWNLOAD Listen to A-NINE - NIPOST by AGU CLASSIC On hearthis.at...

20 Feb 2019

undefined undefined

DOWNLOAD | PENDO EZEKIEL - UNISHIKE | NEW AUDIO - GOSPEL

                                                           &nbs...

8 Feb 2019

undefined undefined

VIJANA - MORAVIAN USHIRIKA WAINGIA KAMBINI RASMI KUJIANDAA NA MASHINDANO YA CCT CUP

Vijana kutoka kanisa la Moravian Ushirika linalopatikana wilaya ya Nzega - Tabora, wameanza rasmi mazoezi ya nguvu kujiwinda na mashindano ya CCT CUP ambayo...

7 Feb 2019

undefined undefined

NEW AUDIO| SEBA TOMMY - R.I.P DADY | DOWNLOAD

Msanii wa Hip Hop na Mshindi wa Fiesta Super Nyota  (2018)  mkoani Tabora anaetokea Vinny Music Lab iliyopo IPULI-Tabora, Ameachia wimbo  - R.I.P DADY kama kumuenzi na kumkumbuka Baba yake Mzazi aliyefari...
Page 1 of 166123166Next