AGU CLASSIC   Blog

BLOG PENDWA YA MUZIKI, HABARI, MICHEZO & BURUDANI, WATOTO NA VIJANA. Instagram| AguClassic, WhatsUp| +255753825788, YouTube| Agu Classic TV, Email| damsonaugustino@gmail.com

AGU CLASSIC BLOG

BLOG PENDWA YA MUZIKI, HABARI, MICHEZO & BURUDANI, WATOTO NA VIJANA. Instagram| AguClassic, WhatsUp| +255753825788, YouTube| Agu Classic TV, Email| damsonaugustino@gmail.com

Follow Us On Instagram

24 Mar 2014

HIZI NDIYO AINA KUMI ZA USUKAJI WA NYWELE ZA KIAFRIKA ZINAZOKIMBIZA ULIMWENGUNI POTE KWA SASA


Bara la Afrika ni bara kubwa duniani japokuwa lipo nyuma kwa baadhi ya mambo kama vile tekinologia , uchumi na vinginevyo ukilinganisha na mabara mengine yaliyoendelea kama vile Ulaya na America , bara hili la Afrika linajitahidi kwa baadhi ya mambo hasa ya kiutamaduni yanayoweza
kulitangaza bara letu ulimwenguni pote na kulifanya lijulikane vizuri kwa nchi zilizoendelea .

Utamaduni wa Afrika umekuwa ukienea sana kwenye mabara mengine kutokana na waafrika kuwa mstari wa mbele katika kutangaza tamaduni zao nje ya nchi hasa kwenye nchi zilizoendelea kama vile za Ulaya na Amerika ,basi hivi karibuni imegundulika kuwa kuna style(aina) 10 za usukaji wa nywele wa kiafrika ambazo zimekuwa gumzo kubwa ulimwenguni kwani watu wengi nje ya bara la Afrika wamekuwa wakiiga style hizo za usukaji na kuziongelea sana,kwa hiyo kutokana na hatua hiyo inaonesha jinsi gani utamaduni wa Kiafrika unavyozidi kuchanja Mbuga hadi nchi njingine .

Hivyo waafrika wenzangu tujaribu kutunza na kutangaza tamaduni zetu na sio kuiga tu tamaduni kutoka nje kwani hata zetu zimeonekana kuwa na thamani nchi za nje.

Hizi ndio picha 10 za usukaji wa nywele wa kiafrika zinazokimbiza sana ulimwenguni kwa sasa.

                                                     10.   DREAD HEADBAND

                                                         9. BEADED BRAIDS

                                                        8.PARTIAL MOHAWAK

                                                       7.FRONTAL HEADBANDS

                                                     6. CLAY COVERED DREADS

                                                        5.FULL HEAD WRAPS

                                                          4.BRAIDED BOB

                                                                 3. BUZZ CUT

                                                          2.TRINKET BRAIDS

                                                                1.DREADS

Tutunze na tutangaze utamaduni wetu Waafrika wenzangu.










No comments:

Post a Comment