AGU CLASSIC   Blog

BLOG PENDWA YA MUZIKI, HABARI, MICHEZO & BURUDANI, WATOTO NA VIJANA. Instagram| AguClassic, WhatsUp| +255753825788, YouTube| Agu Classic TV, Email| damsonaugustino@gmail.com

AGU CLASSIC BLOG

BLOG PENDWA YA MUZIKI, HABARI, MICHEZO & BURUDANI, WATOTO NA VIJANA. Instagram| AguClassic, WhatsUp| +255753825788, YouTube| Agu Classic TV, Email| damsonaugustino@gmail.com

Follow Us On Instagram

17 May 2014

NEW VIDEO / AZMA MPONDA _ KUWA NA AZMA / ANGALI NA DOWNLOAD HAPA


AZMA ni mmoja wa wasanii wakubwa wa HIP HOP nchini Tanzania mwenye maskani yake jijini Dar es Salaam, mara tu baada ya jamaa huyu kuachia video yake ya wimbo wake mpya ( KUWA NA AZMA)

nilifanya jitihada ya kumtafuta ili kujua nini jamaa amezungumzia kwenye wimbo huo, kupitia Whatsup niliweza kuchart nae poa na hivi ndivyo jamaa alisema kuhusu wimbo wake huo na jinsi alivyouhusianisha na jina lake

AZMA alisema " AZMA maana yake ni lengo/ dhumuni au nia ya kufanya kitu fulani, na hili jina ni jina langu kabisa la darasani nililopewa na wazazi kwani wao waliniita AZIMA lakini kutokana na ukali wa jina hili nivyofika darasa la tatu (3)  nilibadili jina na nikajiita AZMA "


Na nilipo muuliza nini uhusiano kati ya jina lake na jina la wimbo wake mpya ( KUWA NA AZMA)  AZMA alisema ," KUWA NA AZMA au kuwa na nia,nimeandika huu wimbo kama dedication kwa watu wote,wanao pambana kutafuta maisha, Maisha yana vikwazo sana,tunatapaswa kuwa na AZMA(NIA) ya dhati, katika kufanya jambo lolote, vikwazo ni sehemu ya maisha, tusikate tamaa, kwa kuwa VIKWAZO(challenges) vipo ili kuonyesha ni kiasi gani tupo STRONG"

Fanya kuucheki wimbo huo hapa kupitia blog hii ya kijanja na kama utakuwa na lolote juu ya AZMA mcheki whatsup kupitia 07127338888
Ahsante kwa kutembelea blog yetu kuwa mwanafamilia kwa kutu follow
                         Facebook - like page yetu  @ Agu Classic
                         Twitter      - @ AugustinoDamson
                         Facebook  - @ Augustino Kaulule
                        Instagram    - @ aguclassic
                        Whatsup      - 0753825788

No comments:

Post a Comment