AGU CLASSIC   Blog

BLOG PENDWA YA MUZIKI, HABARI, MICHEZO & BURUDANI, WATOTO NA VIJANA. Instagram| AguClassic, WhatsUp| +255753825788, YouTube| Agu Classic TV, Email| damsonaugustino@gmail.com

AGU CLASSIC BLOG

BLOG PENDWA YA MUZIKI, HABARI, MICHEZO & BURUDANI, WATOTO NA VIJANA. Instagram| AguClassic, WhatsUp| +255753825788, YouTube| Agu Classic TV, Email| damsonaugustino@gmail.com

Follow Us On Instagram

11 Jun 2014

NEW SONG / MBISHI KOBA ft. DOMMY SHIZZLE & SPACK _ MZANI DOWNLOAD & LISTEN KWA HAPAAAAA


Ni ujio mkubwa wa msanii MBISHI KOBA  toka mkoa wa TABORA anaewakilisha vizuri pande za IPULI , msanii huyu mwenye nyimbo nyingi zinazotamba kwenye vituo mbalimbali vya redio ndani na nje ya mkoa wa Tabora ameachia ngoma yake mpya aliyoipa jina la MZANI akimshirikisha DOMMY SHIZZLE na SPACK kazi iliyofanywa ndani ya SB MUSIC na CAPSTONE PRODUCTION toka Mkoani Tabora chini ya mkono wa  S.TINO na NUSDUR. Fanya kusikiliza na kudownload ngoma hiii mpya na pia kama kutakuwa na artist yoyote atakaependezwa kufanya collaboration nae awasiliane nae kupitia 0767619943 au awasiliane nasi AGU CLASSIC kwa namba 0753825788 (watsup) , comment , ushauri na vinginevyo mcheki pia kupitia namba hizo.

Ahsante kwa kutembelea blog yetu kuwa mwanafamilia kwa kutu follow
                         Facebook - like page yetu  @ Agu Classic
                         Twitter      - @ AugustinoDamson
                         Facebook  - @ Augustino Kaulule Agu classic
                        Instagram    - @ aguclassic
                        Whatsup      - 0753825788

No comments:

Post a Comment