Msanii Mudy maarufu kama Mudy Mchuzi a.k.a MO - FIGHTER toka mkoani Tabora pande za Ipuli ambaye kwa sasa anafanya kazi ya mziki katika maskani yake mapya mkoani Singida katika wilaya ya Manyoni ameachia wimbo wake mpya uitwao TUISHI VYEMA akiwashirirkisha Meck Bizzle , Headstone na Shazz B track inayoendelea kufanya vizuri kwenye redio stations nyingi hasa za mikoa ya kanda ya kati ( Singida ,Dodoma)
Blog hii ilizungumza na Meneja wa msanii huyo Rama Chodo kuhusiana na msanii huyo jamaa alisema " Mo - Fighter amejipanga vizuri sana katika mziki huu wa Hip Hop na anategemea kuja Tabora hivi karibuni kuweza kufanya kazi mbalimbali na wasanii toka kundi lake la Wamiwa Unit kama Rama Star na Bazwa chini ya maproducer wa mziki wa mkoani Tabora ,ukiachana na kufanya kazi na wasanii hao Mo- Fighter atakuja kuitambulisha ngoma yake hii mpya kwa mafans wake wa mkoa wa Tabora. Mcheki Mo Fighter kwa Namba 0763099471 au Meneja wake, Rama Chodo 0763969756 ambaye pia ni mdau wa Blog hii kwa kuconnect na wasanii mbalimbali
Ahsante kwa kutembelea blog yetu kuwa mwanafamilia kwa kutu follow
Facebook - like page yetu @ Agu Classic
Twitter - @ AugustinoDamson
Facebook - @ Augustino Kaulule Agu classic
Instagram - @ aguclassic
Whatsup - 0753825788
Follow Us On Instagram
30 Jul 2014
Home
/
Unlabelled
/
KAZI MPYA YA HIP HOP TOKA MKOAN TABORA : NEW SONG / MO FIGHTER ft. MECK BIZZLE, HEADSTONE & SHAZZ B _ TUISHI VYEMA / SIKILIZA & DOWNLOAD
KAZI MPYA YA HIP HOP TOKA MKOAN TABORA : NEW SONG / MO FIGHTER ft. MECK BIZZLE, HEADSTONE & SHAZZ B _ TUISHI VYEMA / SIKILIZA & DOWNLOAD
Tags
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment