Baaada ya kuachia ngoma kali zinazofanya vizuri kwenye sanaa ya muziki mkoani Tabora na nje ya Mkoa wa Tabora msanii MBISHI KOBA toka Ipuli - Tabora amedondosha ngoma mpya akimshirikisha S. TINO ambaye pia ni Producer wa ngoma hii iliyosukwa vilivyo ndani ya Roby Touch Studio, Thoi Record na SB MUSIC zote za Mkoani Tabora, Ngoma hii imepewa jina la HIP HOP SIO H I V fanya kuisikiliza na kuidownload ngoma hii uweze kujua nini hawa jamaa wamezungumzia.
Ahsante kwa kutembelea blog yetu kuwa mwanafamilia kwa kutu follow
Facebook - like page yetu @ Agu Classic
Twitter - @ AugustinoDamson
Facebook - @ Augustino Kaulule Agu classic
Instagram - @ aguclassic
Whatsup - 0753825788
No comments:
Post a Comment