Wale wakali wa mambo kibao Kuimba, kuchana , dancers na mashakers chini ya kundi kubwa la MABAIBO UNIT a.k.a WANAJESHI WA DAKAWA watafanya bonge la show kuuaga mwaka 2014 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2015 siku JUMATANO ya tarehe 31/12/2014, Show ya kijanja itaanza majira ya saa 9 alasiri katika viwanja vyao vilivyopo IPULI barabara ya magereza mpaka KOKORIKOOOOO, SHOW hii itahusisha wasanii mbalimbali wa mkoani Tabora HIP HOP pamoja na RNB, Kuatakuwa na batle mbalimbali kwa wanaHIP HOP kibao watakao zuka pande izo bila kusahau makundi mbalimbali ya kucheza ( dancers & chakers) , DJs, Maproducer na Bloggers toka mkoani Tabora na nje ya mkoa watakuwepo siku hiyo ili kuamsha popo, Kiingilio ni bureee kabisa so ni wewe tu mshabiki fika bila kukosaaaaa kwa sababu haina KUSIMULIANAAAA MAZEEEEEEEE.
Follow Us On Instagram
29 Dec 2014
Home
/
Unlabelled
/
KWA MARA NYINGINE TENA MABAIBO UNIT a.k.a WANAJESHI WA DAKAWA WANAKUJA NA BONGE LA SHOOOOW SIKU YA JUMATANO TAREHE 31 Dec 2014
KWA MARA NYINGINE TENA MABAIBO UNIT a.k.a WANAJESHI WA DAKAWA WANAKUJA NA BONGE LA SHOOOOW SIKU YA JUMATANO TAREHE 31 Dec 2014
Tags
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment