Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka, (Wapili kushoto),na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, (Wapili kulia),nMkurugenzi Mkuu wa Benki ya Posta, (TPB), Sabasaba Moshingi, (Wakwanza kushoto)na Balozi wa PSPF, Mrisho Mpoto, wakishikana mikono kuashiria uzinduzi wa huduma mpya za mikopo kwa wanachama wa Mfuko huo kupitia TPB jijini Dar es Salaam, siku ya Alhamisi Desemba 11, 2014. HUDUMA HIZO NI; MKOPO WA ELIMU na MKOPO WA KUANZIA MAISHA
Mgeni rasmi Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka, nanviongozi wa juu wa PSPF,na TPB, wakiwa katika picha ya pamoja
No comments:
Post a Comment