Timu ya soka ya Mwenge toka Ipuli mkoani Tabora imeendeleza ushindi katika ligi daraja la 4 inayoendelea mkoani Tabora baada ya kuondoka na pointi zote 3 kwenye mchezo wao wa leo jioni dhidi ya wapinzani wao wakubwa Stand FC kwa ushindi wa goli moja (1) bila majibu , goli lilofungwa mapema kipindi cha kwanza na mchezaji hatari 'David' kwa faulo iliopigwa kiufundi na mchezaji huyo.
Kwa ushindi huu sasa timu ya Mwenge imeendelea
kujikita kileleni mwa kundi lao kwa kufikisha jumla ya pointi 15 baada ya kushinda mechi zote 5 walizocheza .
HIZI NI BAADHI YA PICHA MARA TU BAADA YA MCHEZO HUO KUISHA ZIKIONESHA NYUSO ZILIZOJAA SHANGWE YA KUTOSHAA
DAVID mfungaji wa goli lililoipa ushindi timu ya Mwenge
Baadhi ya wachezaji na Mashabiki wa timu ya Mwenge toka Ipuli
_____________________________________________________________________
Ahsante kwa kutembelea blog yetu kuwa mwanafamilia kwa kutu followFacebook - like page yetu @ Agu Classic
Twitter - @ AugustinoDamson
Facebook - @ Augustino Kaulule Agu classic
Instagram - @ aguclassic
Whatsup - 0753825788
Nyota ya Mwenge FC ilianza kung'arishwa na kocha shupavu mwenye moyo wa dhati katika fani ya kandanda,KOCHA MIRAMBO CAMIL,mwaka 2009 hivi,aliyekaribishwa na marehemu GAMBA,mlezi wa kujitolea kwa nguvu na hali aliyeilea Mwenge FC kwa UPENDO....
ReplyDeleteMungu ibariki Mwenge FC
AMANI ......
Delete