AGU CLASSIC   Blog

BLOG PENDWA YA MUZIKI, HABARI, MICHEZO & BURUDANI, WATOTO NA VIJANA. Instagram| AguClassic, WhatsUp| +255753825788, YouTube| Agu Classic TV, Email| damsonaugustino@gmail.com

AGU CLASSIC BLOG

BLOG PENDWA YA MUZIKI, HABARI, MICHEZO & BURUDANI, WATOTO NA VIJANA. Instagram| AguClassic, WhatsUp| +255753825788, YouTube| Agu Classic TV, Email| damsonaugustino@gmail.com

Follow Us On Instagram

11 Mar 2015

JIPANGE KIMAISHA NA PSPF - MKOPO KWA MWAJIRIWA MPYA




Ni huduma mpya ya muda mfupi inayotolewa na mfuko wa PSPF kwa wanachama wake , Mwanachama aliyepata ajira na kujisajili na PSPF kwa mara ya kwanza huwa anamahitaji muhimu ili kukidhi matakwa ya maisha yake mapya ya ajira, Kwa kutambua hili PSPF imeanzisha huduma ya mkopo wa wanachama wapya unaomwezesha mwanachama mpya kujipanga kimaisha . Lengo ni kumuwezesha
kumudu gharama kama kulipa kodi ya nyumba, kununua samani za ndani, kugharamia ndoa na harusi , kununua chombo cha usafiri n.k . Mwajiriwa mpya , ambaye ni mwanachama wa PSPF , atastahili kupata mkopo huu baada ya kuchangia kwa kipindi cha miezi isiyopungua sita tu.

                                              PSPF  PAMOJA NAWE
Fanya maamuzi sahihi ; Jiunge na PSPF kwa tulizo la maisha yako

No comments:

Post a Comment