AGU CLASSIC   Blog

BLOG PENDWA YA MUZIKI, HABARI, MICHEZO & BURUDANI, WATOTO NA VIJANA. Instagram| AguClassic, WhatsUp| +255753825788, YouTube| Agu Classic TV, Email| damsonaugustino@gmail.com

AGU CLASSIC BLOG

BLOG PENDWA YA MUZIKI, HABARI, MICHEZO & BURUDANI, WATOTO NA VIJANA. Instagram| AguClassic, WhatsUp| +255753825788, YouTube| Agu Classic TV, Email| damsonaugustino@gmail.com

Follow Us On Instagram

22 Feb 2022

VITUO VYA MAENDELEO YA MTOTO NA VIJANA KLASTA YA NZEGA VYAZINDUA MICHEZO YA KIRAFIKI KILA JUMAMOSI

 


Baada ya kupotea kwa mashindano ya pamoja ya vituo vya Klasta ya Nzega tangu mwezi June 2021, Idara ya Michezo ikiongozwa na ndugu Alfred Masele (Mratibu wa FPCT Tazengwa) na Augustino Kaulule (Mratibu wa Moravian Ushirika) ilikaa chini na kubuni njia rafiki itakayosaidia kurudisha Upendo, Umoja na Amani baina ya watoto, watendakazi na jamii nzima inayozunguka vituo hivyo vitano kwa Kuanzisha MICHEZO YA KIRAFIKI UPANDE WA FOOTBALL, NETBALL NA RIADHA ITAKAYOFANYIKA  KILA JUMAMOSI, KUANZIA MWEZI WA PILI NA KUENDELEA.

10 Aug 2021

AUDIO | Anjella Ft. Country Wizzy, Frida Amani, Mabeste & Young Lunya – Nobody Remix | Download

6 Aug 2021

TIMU YA MORAVIAN USHIRIKA ACADEMY KUINGIA KAMBINI RASMI KUJINOA NA MCHEZO WA KIRAFIKI DHIDI YA MORAVIAN USOKE YA URAMBO

 


Timu ya mpira wa Miguu kutoka kituo cha Maendeleo ya Mtoto na Kijana cha Moravian Ushirika Nzega – TZ0564 Moravian Ushirika Academy, inajiandaa kuingia kambini rasmi kwa ajili ya Mchezo wa Kirafiki dhidi ya timu ya Mpira wa Miguu kutoka kituo cha Moravian Usoke kilichopo wilayani Urambo Mkoani Tabora.

Akizungumza moja kwa moja na Mwandishi wetu, Kocha Mkuu wa timu ya Moravian Ushirika Christopher Kaombwe maarufu kama Chris Gomez Mpili,

ASKOFU EZEKIEL YONA WA 'KMTM' AZINDUA OFISI YA WATENDAKAZI WA KITUO CHA MAENDELEO YA MTOTO NA KIJANA MORAVIAN USHIRIKA - NZEGA

 


Jumapili ya tarehe 01/08/2021ilikuwa ni Jumapili ya kipekee na yenye furaha kwa waumini wa kanisa la Moravian Ushirika Nzega. Baada ya kutembelewa na ugeni mkubwa wa vongozi wa juu wa jimbo la Kanisa la Moravian Tanzania Magharibi (KMTM) wakiongozwa na Baba Askofu Ezekiel Yona.

Pamoja na kuongoza ibada ya Jumapili hiyo, Baba Askofu Ezekiel Yona alizindua Ofisi ya watendakazi wa Kituo cha Maendeleo ya Mtoto na Kijana Moravian Ushirika chenye

19 Jul 2019

NEW AUDIO | A NINE - NIPOST | DOWNLOAD & LISTEN


DOWNLOAD Listen to A-NINE - NIPOST by AGU CLASSIC On hearthis.at

20 Feb 2019

DOWNLOAD | PENDO EZEKIEL - UNISHIKE | NEW AUDIO - GOSPEL

                                                            

8 Feb 2019

VIJANA - MORAVIAN USHIRIKA WAINGIA KAMBINI RASMI KUJIANDAA NA MASHINDANO YA CCT CUP

Vijana kutoka kanisa la Moravian Ushirika linalopatikana wilaya ya Nzega - Tabora, wameanza rasmi mazoezi ya nguvu kujiwinda na mashindano ya CCT CUP ambayo

7 Feb 2019

NEW AUDIO| SEBA TOMMY - R.I.P DADY | DOWNLOAD


Msanii wa Hip Hop na Mshindi wa Fiesta Super Nyota  (2018)  mkoani Tabora anaetokea Vinny Music Lab iliyopo IPULI-Tabora, Ameachia wimbo  - R.I.P DADY kama kumuenzi na kumkumbuka Baba yake Mzazi aliyefariki